Kutoka juzi, ukienda kwa site ya Homeboyz Radio, imekuwa ikionyesha homepage ya Capital FM. Obviously, site ya Homeboyz Radio imehackiwa. Hack kama hii huitwa 301 injection. Msee anafanya site yako ku-redirect ionyeshe site ingine. Swali yenye haijajibiwa ni kama hii ilikuwa sabotage, ama ni msee wa Homeboyz mwenyewe walikosana nao, ndio akaboeka na story yao

, akaamua ku-revenge (sijui ka ni ukweli, lakini mi huskia ati Homeboyz hawalipangi wasee vipoa

). Unaweza kujiangalilia site yenyewe uki-click
hapa.