| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Hack Attack!

L
ast week KenyanLyrics ilishambuliwa na ma-hackers kwa mara ya fao tangu tuanze hii projo. Hatuwezi kuwa-show kenye ili-happen just in case fala mwingine ajaribu kutushambulia na hiyo style tena. Anyway, at least admin hukuwanga wizard wa hii story ya comps, akakam akafanya sijui ma-javascript, ma-coding nazo, na story zingine mob, akafukuza ule shenz type kutoka site yetu. Story ikakanyagiwa hata kabla one hour ipite, kwa hivyo tuna-hope hakuna mtu alikatsiwa juu ya hiyo ufala.

 

Saa hizi tunafanya inspection ya site kuona kama kuna damage yoyote ule hacker alifanya . Mgangagenge mi nimecheki side yangu iko poa, lakini kuna vyenye hizo lyrics zinakuwanga mob jo! Itabidi mafans pia mtusaidie kujua kama lyrics zozote zilitolewa, ama ziligeuzwa. Mkipata kesi yoyote, utustue kupitia ile section ya Contact Us.

Sawa basi, next time sa tutarudia ma-story za genge kama kawaida, au sio!


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 563 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)