I
le compe ya mablog ndio itakuwa focus ya mwezi huu. Mazee mafans, thanks kwa kunipigia kura, lakini lazima tuendelee hivyo hivyo ndio tukuwe number 1.
As of now tuko number two kwa zile sector mbili zenye tulialikwa. Kwa ile side ya "Action Award" tuko number 2 na kura 237, na kwa ile side ya "Beauty Award" tuko number 2 tena na kura 131.
Lazima tuende home na hii trophy ndio boy wenu Mgangagenge ajulikane poa kwa hiyo group ya ma-blog, au sio? Kura nayo, utaweza kupiga kupitia hii link iko hapa down:
http://egichomo.wordpress.com/2010/07/13/welcome-to-the-kenya-blog-contest/
| < Prev | Next > |
|---|
