K
una hii ngoma inaleta frakaz wazim mtaani
Mi nilikuwa naona ni poa at least ndio watoi wasielewe kenye inaendelea. Lakini siku hizi kunakuwanga na watoi wengine ma-rude bwoy, pengine wanashika maana za ngoma ka hizi bana!![]()
Comments (4)
-
|2010-07-02 07:20:29 angelmanze, kids of nowadayd are mad, they shika everything!! lakini ni poa for some of these songs to be hidden juu imagine skizaing a song like sisqo's thong song with your paroz? jamani!
-
|2010-07-07 20:51:29 MgangagengeAlafu kuna wengine wanaimbanga hizo ngoma mbele ya wazae bila ata haya!
Powered by !JoomlaComment 4.0 beta2
| < Prev | Next > |
|---|
