| 
A+ R A-


Mgangagenge

 

 

Chizi wa ziki ya Kenya!

 
(2 votes, average 4.00 out of 5)

Sasa Alaine Kameenda Hifyo Tuu!

M
asaa ilikuwa ni Sato. Nilikuwa na ushungu ya kuenda kwa hii mabo ya Alaine. Upaya sikuwa na silingi hata kamocha cha feya mwana hata kufika ningefika ache? Ilipiti tu nikaombeko kamia kamocha kutoka kwa chirani hapo karipu dio nikafike huko. Kwa roho yake musuri akanipa tu. Nikamushukulu sana na Mungu atamupariki mala mia!

Nilichakua sile nguo ampayo nitasivaa visuli sana. Nikachukua kale kajacket kangu iko na zipa kwa mufuko ndio nisisanyiwe pesa za chirani. Kuenda towni nikachukua ile matatu ya kuenda mpaka Kanifo dio nikaone kale kamurempo kangu Alaine. Kwa gari nikakaa karibu na kamtu kingine kalikuwa kamepepa kapahasha kubwa akaiweka chuu ya miguu yake.

Read more...
(3 votes, average 3.67 out of 5)

Homeboyz/ Capital FM Website

Kutoka juzi, ukienda kwa site ya Homeboyz Radio, imekuwa ikionyesha homepage ya Capital FM. Obviously, site ya Homeboyz Radio imehackiwa. Hack kama hii huitwa 301 injection. Msee anafanya site yako ku-redirect ionyeshe site ingine. Swali yenye haijajibiwa ni kama hii ilikuwa sabotage, ama ni msee wa Homeboyz mwenyewe walikosana nao, ndio akaboeka na story yao , akaamua ku-revenge (sijui ka ni ukweli, lakini mi huskia ati Homeboyz hawalipangi wasee vipoagreedy). Unaweza kujiangalilia site yenyewe uki-click hapa.
(5 votes, average 3.20 out of 5)

TPF Final Audition Lameness Awards (TPF FALAs)

M
i huona kwa Project Fame, ile part hubamba kabisa inakuwanga auditions. Kunakuwanga na wasee wengine hutokea hapo hivyo kujiaibisha tu. Na hizi vituko zu-happen kila mwaka. Msee akicheki hizi auditions za ufala, unashangaa, yaani hawa watu wamesimama kwa hiyo line kitu kama 2 hours hivi ndio wajitoe rangi mbele ya East Africa nzima? Ai, hapo ndio unajua kuna wasee wenye wako na mabeste wabaya. Ka wee ni boy wa msee ka huyo, akiku-show ati anaenda TPF ku-audition ile 'ngoma' yake ya Micheal Jackson, alafu umwache tu aende, wee ni mtu hivi hivi.
Read more...
(2 votes, average 3.00 out of 5)

Kiwezere

V
ipire mazere. Lugha mpyare imetokea inaitwa kiwezere. Kila kiture unasemare, ongeza "re" mwishore. Kwa mfano: Bobbyre Mapesare ndio kabisare. Hii lughare inafaa isambazwe ikubaliwe kotere. Au vipire? Pigeni matizire hapo chinire.
(4 votes, average 3.75 out of 5)

Song of the Year (So Far)

K
una venye nusu mwaka ishapita, nimeona wacha niambie mafans juu ya ile ngoma mi na-feel ilinibamba the most. Bado kuna chance ya ngoma zingine kali kuliko hii kutokea, lakini as of now, hii ndio imeshinda zenye ziko saa hii.

Wacha tu niseme this year kumekuwa na fire kwa hii sector ya malocals. Last year ilikuwa imekaa Bongo ita-take over, lakini wasanii wa Kenya wamejitokeza vinoma na wamerudisha trophy ya East Africa nyumbani kwake. Juu ya hiyo story ilikuwa noma sana ku-decide ngoma gani itakuwa Song of the Year kwangu, lakini baada ya kutafakari vi-deadly choice yangu ni:

Read more...
(4 votes, average 2.75 out of 5)

Christian Longomba Unaonaje?

C
hristian Longomba na bro wake Lovy wamekuwa underground karibu mwaka nzima bila kuambia mafans wao ni vipi. Wacha niwapashie habari: Longombas walihamia Statoe wote; Christian, Lovy, Richie Rich, na ule cuzo wao mwenye alikuwa anakatika nao kwa concerts zao. Mwenye amebaki huku Afrika ni Awilo pekee yake. Anyway, hiyo haikuwa point ya hii story. Nilikuwa nataka ku-show mafans wa Longombas kwamba tangu waishie, Christian ame-change looks zake kabisaaa, kabisaa, kabisa! Ebu sorora hizi picha hapa chini:

 

Read more...
(3 votes, average 2.33 out of 5)

Kenyan Gospel

K
ama bado hujaskia story, Ousmane tena ame-convert akawa msanii wa gospel. As of now ame-announce tu hiyo story, lakini kuna vyenye ata-release gospel yake ya fao hii mwezi ya holiday. Mafans wake wengi wamekuwa wakibonga hii story the whole week. Mi nikiskia hivyo, mara hio hio nikaanza kujiuliza kama huu msee ako sincere na hii conversion yake. Najua ma-journalist wameshabonga juu ya hii story ya ma-gospel celebrity tayari, lakini vile huwa inanisumbua, nikaona tu niwa-show opinion ya mine.

Read more...
(4 votes, average 4.00 out of 5)

Compe ni Noma!

I
le compe ya mablog ndio itakuwa focus ya mwezi huu. Mazee mafans, thanks kwa kunipigia kura, lakini lazima tuendelee hivyo hivyo ndio tukuwe number 1. As of now tuko number two kwa zile sector mbili zenye tulialikwa.  Kwa ile side ya "Action Award" tuko number 2 na kura 237, na kwa ile side ya "Beauty Award" tuko number 2 tena na kura 131.
Read more...

Kura Kwa Mgangagenge!

S
emeni wadhii. Kuna vyenye hii blog, baada ya kuwa online kwa miezi kadhaa tu, ishapata nomination ya award fulani jo! Compe inaitwa The Kenyan Blog Contest. Ilianzishwa na boy anaitwa E. Gichomo. Alianzisha hii kitu hapo Twitter. Alikuwa na nia ya kushangilia tu vile wasee wa ma-blog wametoka farthest na pia alitaka ku-promote ma-blog noma noma za Kenya.
Read more...

Hack Attack!

L
ast week KenyanLyrics ilishambuliwa na ma-hackers kwa mara ya fao tangu tuanze hii projo. Hatuwezi kuwa-show kenye ili-happen just in case fala mwingine ajaribu kutushambulia na hiyo style tena. Anyway, at least admin hukuwanga wizard wa hii story ya comps, akakam akafanya sijui ma-javascript, ma-coding nazo, na story zingine mob, akafukuza ule shenz type kutoka site yetu. Story ikakanyagiwa hata kabla one hour ipite, kwa hivyo tuna-hope hakuna mtu alikatsiwa juu ya hiyo ufala.

Read more...

Page 1 of 2