Artist:Mzalkun
Song:Ombea adui yako
Year:2007
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Ombea adui yako aishi siku nyingi
ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
Hamna haja kabisa, afe kabla hajaona
baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako
Ombea adui yako aishi siku nyingi
ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
Hamna haja kabisa, afe kabla hajaona
baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako
Ombea adui yako aishi siku nyingi
ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
Hamna haja kabisa, afe kabla hajaona
baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako
Ombea adui yako aishi siku nyingi
ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
Hamna haja kabisa, afe kabla hajaona
baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako
VERSE 1 LYRICS:
Umeharibu pesa nyingi ukipeleka kwa waganga
ili nisifanikiwe nabado ninaendelea
Mahimizi akapewa ayalete kwa duka yangu
badala ya kufunga duka, wateja wanakuwa wengi
CHORUS LYRICS:
Ombea adui yako aishi siku nyingi
ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
Hamna haja kabisa, afe kabla hajaona
baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako
VERSE 2 LYRICS:
Ameharibu pesa nyingi ukipeleka kwa waganga
ili nisifanikiwe nabado ninaendelea
Mahimizi akapewa ayalete kwa duka yangu
badala ya kufunga duka, wateja wanakuwa wengi
CHORUS LYRICS:
Ombea adui yako aishi siku nyingi
ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
Hamna haja kabisa, afe kabla hajaona
baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako
VERSE 3 LYRICS:
Alisema hutapata kazi na sasa una kazi
Akasema hutajenga nyumba, sasa una nyumba
Walisema hutaoa, sasa naona una watoto
Maadui mkae kimya, Yesu Atupigania
CHORUS LYRICS:
Ombea adui yako aishi siku nyingi
ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
Hamna haja kabisa, afe kabla hajaona
baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako
REPEAT VERSE 3 LYRICS:
Alisema hutapata kazi na sasa una kazi
Akasema hutajenga nyumba, sasa una nyumba
Walisema hutaoa, sasa naona una watoto
Maadui mkae kimya, Yesu Atupigania
CHORUS LYRICS:
Ombea adui yako aishi siku nyingi
ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
Hamna haja kabisa, afe kabla hajaona
baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako
Waombee waishi na Mungu Atakubariki wakitazama
VERSE 4 LYRICS:
Vita vyetu si wakwito, sio vita vya mwili na damu
Vita tunavyopigana, wapendwa ni vya kiroho
Wakuseme wakusimange, endelea kuwaombea
Alichobariki Mungu, hakuna wa kukilaani
CHORUS LYRICS:
Ombea adui yako aishi siku nyingi
ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
Hamna haja kabisa, afe kabla hajaona
baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako
Cheza mziki wa Yesu wewe, maana kwa Yesu kuna raha