Artist:mwasimwasi
Song:Nisamehe
Year:2007
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Naomba Baba yangu unisamehe niweze kuyatubu yale maovu
Naomba Mungu wangu unisamehe niweze taratibu za uokovu
VERSE 1 LYRICS:
Mungu mwenye enzi,Baba wa mapenzi, nisamehe
Mungu wa reheme, Baba wa neema, niokoe
Umenibariki, nitakusadiki milele
Unaambani, nina imani, Unaumba
CHORUS LYRICS:
Naomba Baba yangu unisamehe niweze kuyatubu yale maovu
Naomba Mungu wangu uniokoe niweze taratibu za uokovu
VERSE 2 LYRICS:
Yesu ndiye njia ya kuingia binguni
Yesu ni uzima wa kutazama maishani
Amenibariki, nitamsadiki milele
Kama amani, imani, Baba naomba
CHORUS LYRICS:
Naomba Baba yangu unisamehe niweze kuyatubu yale maovu
Naomba Mungu wangu uniokoe niweze taratibu za uokovu
VERSE 3 LYRICS:
Unisamehe Baba, Uniokoe Baba, Unigeuze Baba, nakuomba
Naunijaze Baba, Unioshe Baba, Unikinge Baba na maovu
Na ata yale yana, na ata yale yana, na ata yaliyo pita, nisamehe

Tags: