Song: Tuko Sawa
Year: 2009
Verse 1
mi hu-get credit sihitaji kujidai
kwa mic nisha-do styles mob
kushinda dame wa allan mwigai
na kukwendana na mimi ni kitu haifai
uzito wa rhymes zangu zimetosha wewe kuzirai
MC kama wewe mi humwambia shatup akisharap
badala yako afadhali daniel toroitich arap
wewe ndio mkenya kibaki huita kumbafu
na haukuelewa vile wasee walisema wewe ni mchafu
walimaanisha unafaa kwenda kwa bafu
upige shower upunguze idadi ya chawa
kwa mik hata huko sawa wewe hauna kipawa
kama ehster wahome mwafrika ana dawa
ile analazimisha maemsi kumeza
mbeleni haukuskiza vile walikueleza
kwa battle rhymes mwafrika anarule
na nikishika kalamu namada ink kama jah rule.
Chorus
tuko sawa, tuko tuko tuko
tuko sawa, tukoo
tuko sawa, tuko tuko tuko
tuko sawa, tukoo
Verse 2
nakuchase around ndani ya circle
unafa kurun squarely ndani ya triangle
makuro wako juu ya d*** kama buckle
belt yangu inazunguka kiuno kuliko sarakasi dancers
tukinona tutajiita sarakasi bouncers
naingia times tower alafu na switch watches
sipendi games lakini saa zingine mi hucheza zebra matches
niliingia kwa uwanja na kiberiti
reason hauna kazi uko fired kama arson
dustbin hot hata manzi yako ye huscream Jesus!
oo! we ndio Jah! dem new misters
ka mtu ameuza donkey
padlock yangu ni ndogo kwa hivo niko low key
nimekula beef mpaka naona tu maini kuliko liver
usitry na narudia usijaribu kushindana na mwaf, vic na das
never!
Chorus
tuko sawa, tuko tuko tuko
tuko sawa, tukoo
tuko sawa, tuko tuko tuko
tuko sawa, tukoo
Verse 3
hii ni walanguzi na mwafrika the floss moding version
nyi mko chini, the floor moping version
lyrics zinaacha uko shapeless, useless
ka ule manzi alishinda miss eastlands
reason? unamiss easter ka mwislamu anaishi north eastern
una miss ehster ka mkristo anataka dawa
dismiss the competition ka mtu ako na opponent
ana miss miss the pont ka boy anashoot blanks
style lethal kama mikono za billy blanks
nakupeleka straight up kaumejikunja mikono
zangu zinakam sa hizi zako zinakam later ka mbono
kwani ni siri? tunastay connected kama subscribers
utajua mbona watu siku hizi wanatuita backbiters
you beef na sisi unaenda home bila spinal cord
hii ngoma inafanya ukuwe high ka nyoni juu ikona mwafrika
Chorus
tuko sawa, tuko tuko tuko
tuko sawa, tukoo
tuko sawa, tuko tuko tuko
tuko sawa, tukoo
