" target="_blank">
LISTEN TO 'OBOHO ANTHEM'![]()
Artist: Muzi wa Nanjero
Song: Oboho Anthem
Album: Destination Clear, Path Unfamiliar
Year: 2010
Record Label: Mautamu Music/ Lovebrand
Language: Kiswahili
umtaa sio bunduki na ngeta
kama Mariga inua mtaa watu wangu
wanatuita oboho
ololo
watu wa mtaa
hatuna chuki
tunajivunia
tunawakilisha
huko ndio kwetu
wanatuita oboho
ololo
watu wa mtaa
hatuna chuki
tunajivunia
tunawakilisha
huko ndio kwetu
eastlando
lando
huko ndio kwetu
Jeri na mbote
mabodi
ukileta noma kwisha
Kije na Shauri
Gikomba
tunang'ara kama majuu
Ovaro na Baha
mangoma
watu wote wabanjuke
Eastleigh na Cali
kangeta
sisi wote tuveveke
eastlando
lando
lando
huko ndio kwetu
eastlando
lando
lando
huko ndio kwetu
Umo na Buru
masupuu
tupu tupu tupu
Mathare na Bangla
ghetto life
tunanang'ana
Kayole na Koma
Injili
watu wote waokoke
Emba na Sowe
airport
nyuma ya keja
eastlando
lando
lando
huko ndio kwetu
eastlando
lando
lando
huko ndio kwetu
