Artist: Muthoni the Drummer Queen
Song: Mahabuba
Album: The Human Condition
Year: 2010
Producer: Wawesh
Record Label: Penya Africa
Language: Kiswahili
Songwriters: M. Ndonga
Verse 1
Wewe Nimpendaye ingawa bado hujanijia
Bado imani Yangu ipo haijafifia
Natuma Huu ujumbe Kwenye wimbo Kwako wewe
Chorus
Mahabubanakupenda mno
Nakupenda mno nakupenda mno
Verse 2
Dalili Za Mvua Ni Mawingu Za mapenzi ni mnong'ono
Mtetemo wa roho N'do Ishara Penzi linakuja, Penzi linakuja, Penzi lina
Kuja Ni tayari kupokea Huba
Chorus
Mahabubanakupenda mno
Nakupenda mno nakupenda mno
Verse 3
Namtakia awe buheri wa afya
Na kwenye kilio mazito makubwa machungu mapana nipate kumbana
Kwenye penzi letu tupate kuzama
Moyo akili apate changanya
Mawazo maneno mapya kukanganya
Tuungane nafsi isoweza tengana
Jitoa, toeka, boeka, achana
Na-omba awe mwepesi kutizama
Taratibu mpenzi muungwana
Tayari penzi moja kuungama
Kwenye shida na raha kuniandama
Chorus
Mahabubanakupenda mno
Nakupenda mno nakupenda mno
| < Prev | Next > |
|---|

For only 1$% you help her with her next recording, you will receive the release & a share of the income in return!