| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Yatendeni

Artist:Musifu Bwana
Song:Yatendeni
Year:2009
Language:Kiswahili

Yatendeni mambo yote pasipo na manung'uniko yoyote
wala mashindano ya kuwa wana wa Mungu
Yatendeni mambo yote pasipo na manung'uniko yoyote
wala mashindano ya kuwa wana wa Mungu

VERSE 1 LYRICS:


Wana wa Mungu hawadanganyi
wana wa Mungu wasio na dhambi yoyote
wana wa Mungu wasio na udanganyifu
wana wa Mungu wasio na dhiki yoyote
wakiMuabudu Mungu kwa uelekeo
wakiyatenda matendo yote yaliyo ya Bwana
wakiMuabudu Mungu kwa uelekeo
wakiyatenda matendo yote yaliyo ya Bwana
nikitenda mapenzi ya Bwana, na kulifwata neno la Bwana
nikitenda mapenzi ya Bwana, na kulifwata neno la Bwana

CHORUS LYRICS:


wanaotenda mabaya wataharibiwa
wale wangojao Bwana watarithi nchi
maana bado kijambo asiye haki hatakuwepo
wale wenye upole watafurahia
wanaotenda mabaya wataharibiwa
wale wangojao Bwana watarithi nchi
maana bado kijambo asiye haki hatakuwepo
wale wenye upole watafurahia

VERSE 2 LYRICS:


Natulishike sheria ya Baba wetu aaii
natuyaandike katika kibao cha nyoyo yetu
Natulishike sheria ya Baba wetu aaii
natuyaandike katika kibao cha nyoyo yetu
maana Yeye ndiye msaada wetu
katika haya yote yaliyo ya bwana
maana Yeye ndiye msaada wetu
katika haya yote yaliyo ya bwana

CHORUS LYRICS:


wanaotenda mabaya wataharibiwa
wale wangojao Bwana watarithi nchi
maana bado kijambo asiye haki hatakuwepo
wale wenye upole watafurahia
wanaotenda mabaya wataharibiwa
wale wangojao Bwana watarithi nchi
maana bado kijambo asiye haki hatakuwepo
wale wenye upole watafurahia


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 168 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)