Song: Nakushukuru
Year: 2010
Producer: Sir Alex
Language: Kiswahili
Ewe baba uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe
Utupe uwezo wa kukuabudu
Kwa kipawa ulichotupa
Tutaimba ahh
Nakuabudu {uhh uuuhhh}
Nasifa zote ni zako
Tunakusifu uh
Heshima kwako {oh ooohhh}
Pokea utukufu wako
Chorus
Nakushukuru….Nakupenda bwana
Nakushukuru….Nakupenda bwana
Nakushukuru….Nakupenda bwana
Nakushukuru….Nakupenda bwana
Ulo’nitendea siwezi sema
Baraka ulizonipa ni kwa wema
Ingawa mimi nimnyonge
Kusombwa maadili ya dhambi
Baba pamoja nami
Nakamwe hautaniacha
Baba …..(Baba)
Baba …..(Baba)
Naitisha baraka zako
Baba …..(Baba)
Baba …..(Baba)
Naitisha baraka zako
Chorus
Nakushukuru….Nakupenda bwana
Nakushukuru….Nakupenda bwana
Nakushukuru….Nakupenda bwana
Nakushukuru….Nakupenda bwana
| < Prev | Next > |
|---|
