Artist: Msanibongo
Song: Maisha
Year: 2010
Album: Asante
Producer: Sir Alex
Language: Kiswahili
Na yeye kuwa natamani
Kuishi naye natamani
Kumtumikia ye’ natamani
Niwe wake tu natamani
Vamp:
Ki’afya, mavazi
Vyote vyatoka kwake
Chakula, kulala
Vyote pia ni vyake ehh
Chorus
Maisha Maisha….
Ndi’vyo huwa Aahhh ahh
Maisha Maisha….
Bila kutaka Aahhh ahh
Maisha Maisha….
Ndi’vyo huwa Aahhh ahh
Maisha Maisha….
Bila Yesu uuuhhh
Natamani Kuishi vizuri
Natamani niwe namkiri
Natamani moyo kumsifu
Natamani wimbo kumsifu
Vamp:
Siku zote
Humu duniani
Siku zote
Walau sitochoka aahhh aaiya
Chorus
Maisha Maisha….
Ndi’vyo huwa Aahhh ahh
Maisha Maisha….
Bila kutaka Aahhh ahh
Maisha Maisha….
Ndi’vyo huwa Aahhh ahh
Maisha Maisha…..
Bila Yesu uuuhhh
| < Prev | Next > |
|---|
