Artist: Msanibongo
Song: Asante
Album: Asante
Year: 2010
Producer: Sir Alex
Language: Kiswahili, English, Kikuyu
[Just kwa wema wako baba, Mi’ bado naishi
Jesus you are more than a friend: And I love you]
Eeh baba, eeh baba
Eeh baba, eeh baba [voices]
Chorus
Asante x8
Maishani sijaona Mungu Kama wewe
Maishani sijaona Mungu Kama wewe
Jina lako litukuzwe, wewe ni, Alfa na Omega
Tunakusifu, tunakuimbia
[Ewe baba] Hakuna Mungu [baba]
Kama wewe eeh eh
Chorus
Asante x8
Mara nyingi Napata shida sina pakuegemea
Marafariki kibao mbali [wao], wanasongea
Upweke, majuto naam nimepokea
Habari zangu nyingi pia wanaziongea
God you said you‘d never let me down
Every time I call your name
You knew my pain, and renewed my strength
And I just wanna say thank you
Rap: Maishani mwangu sijapata kama we
Ingawa wakati wa shida nina sema ni wewe
No matter what ever that just come my way
I’ll stick to you and I will never let you go x2
Chorus
Asante x8
Japo shida mi’nateseka, lakini najua ywanipeendaa
Japo shida mi’nateseka, lakini najua ywanijaalii
Niwakati wa shida [shidaa],
Niwakati waraha [rahaa]
Namtegemea yeye [yeeyee],
Namtegemea yeye [yeiyee]
[Yeeyee] yeiyee][Yeeyee]
[Yeeyee]Yeiyee oooh oh oh
Hakuna Kama wewe [turari tura turera]
Hakuna Kama wewe [turari tura turera]
Hakuna Kama wewe [turari tura turera]
Hakuna Kama wewe [turari tura turera]
| < Prev | Next > |
|---|
