Artist/ Band : Moseti de'MC aka Collo
Song Title : Camposhizzle
Album : Mosetism (Haki Yetu Mixtape)
Year : 2011
Producer : Jimmy
Record Label : EWD Studioz
VERSE ONE
Me ninarhyme me ni king wa c ampo
Huku nikiflossd na madem wa k.u.
Nani alikusho nina kwanga libo
Hiyo sio siri nianakwanga longo
Ka ni mafala wako reading area
Me ni km juu nya kerea
Wacha kunimind kunifikiria\
Day ya exam nitachungulia
Sisi ni maboys tunadunga pia
Kama wee n idem tunakukatia
Wacha kujifanya kujioangalia
Hii ni intro nina kupatia
CHORUS
Hii inatwanga camposhizzle
Camposhizzle,camposhizzle
Hii inatwanga camposhizzle
Camposhizle camposhizzle
VERSE TWO
Hii inatwanga kushizzle
Left to the right can u flex ua muscle
Chuo kikuu pia watu wana husle
Ndo tukapate hizi manu kato
Ndomana mangoma nina fanya ku
Pia na wengina wako usiu
Sieziu jo kulebnaga wasanii wa nairo
Juu ya madem nime jenga hii flo
Huku nikidhani nitapata hii doo
Huku nikidhani mii mosetin collo
Nitarise up kama king wa campo
Keroro mzeiya nimeweka kando
Sai ninadai kupata G
Mwenye anaweza kunigei ma D
Nikafanye biz ya kukinda T
Lakini nyii pia mkabuy ma C
D kama thao mkajenge mii
Campo mzeiya nimefanya hii
E double u kule mwisho D
Hiin ngoma nimeduu nim e manga fee
CHORUS*2
VERSE THREE
Kama hunijui nimetoka shuge
Mogoka nabamba mitaa ya gafe
Masomo nafanya mitaa ya uk
Ngomaq nafa naroga dj
Twende tupewe utaki si u stay
Nipe kamoja nichome niwe
Kama wazaiya na tei kwa hed
Doo tuna pewa na mashuge mathe
Kwa tukienda tuna itwa uncle
Hizi ndizo vitu tunafanya campo
Tunachop pia tunakewda tao
M,oseti de’mc naitwa collo
\
CHORUS BY 4
