| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Sisili

" target="_blank">LISTEN TO 'SISILI'

Artist: Moni Mambo & Orchestre Shika Shika
Song: Sisili
Language: Kiswahili


Sisili mama yeye
Sisili mama yeye
Sisili mon amour mama
mpenzi wangu, mi nakupenda
mimi na wee
pamoja nayo mutema

nakupena sana Sisili
nakulia sana Sisili
pamoja nawe, mi nakupenda mama

Sisili mama yeye
Sisili mama yeye
Sisili mon amour mama
mpenzi wangu, mi nakupenda
mimi na wee
pamoja nayo mutema

nilienda Mombasa Sisili
nimerudi Machaku Sisili
narudia tena Sisili
wanasema kwangu
umerudia
wanasema kwangu
unapotea mama

Sisili mama yeye
Sisili mama yeye
Sisili mon amour mama
mpenzi wangu, mi nakupenda
mimi na wee
pamoja nayo mutema

nakulia sana Sisili
nimeenda Mombasa sijapata Sisili
nimerudi Nakuru
oh Sisili
nimeenda Kisumu
oh Sisili

Sisili mama yeye
Sisili mama yeye
Sisili mon amour mama
mpenzi wangu, mi nakupenda
mimi na wee
pamoja nayo mutema


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 523 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)