Artist: Milimani Park Orchestra
Song: Kisonoko
Language: Kiswahili
wee kisonoko
wacha visa kukidi mradi wako
baada ya kisa
mkasa
nakuomba
ujirudi
umejivisha kilemba cha kichekesho
kunguruma kama simba
hadi wewe kisonoko
dunia mambo kiko wapwagu naye pia hupwagika
na wala
siku mbofu nilipokuona ukitamba
kwa kusema ovyo
lakini
ukumbuke
hata kama tungekuwa wanyama wa porini
tungezidiana kwa mizani
umejivisha kilemba cha kichekesho
kunguruma kama simba
hadi wewe kisonoko
dunia mambo kiko wapwagu naye pia hupwagika
neno hili zingatia
usije shavu kushika
na woga kuwajibika
uje madira kushika eeh
kumbe ni za tarumbeta
kuwatisha wahatari

hatoiweza vita kupambana naye pima penzi
usije kubatabata
kutatanisha kauli yao
kisonoko wacha visa
kukidhi wako mradhi
baada ya kisa mkasa

| < Prev |
|---|