Artist: Milimani Park Orchestra
Song: Epuka Jambo
Language: Kiswahili
mimi siwezi kudakia maneno
yasiyonihusu wala sipendelei
mimi siwezi kudakia maneno
yasiyonihusu wala sipendelei
najiepusha na tabia ya udadisi wa mambo
yasiyo na maana kwa vile sikuzoea
najiepusha na tabia ya udadisi wa mambo
yasiyo na maana kwa vile sikuzoea
likiwa lipo jambo linalonihusu
nitafanya subira
japo lina kificho
sifanyi papara
na kusemasema ovyo
nitakosa maana
nitakosa uaminifu
epuka eeh, epuka eeh
epuka eeh, epuka eeh
jambo lisilokuhusu
usilifuatefuate
epuka eeh, epuka eeh
epuka eeh, epuka eeh
jambo lisilokuhusu
usilifuatefuate
likiwa lipo jambo linalonihusu
nitafanya subira
japo lina kificho
sifanyi papara
na kusemasema ovyo
nitakosa maana
nitakosa uaminifu
likiwa lipo jambo linalonihusu
nitafanya subira
japo lina kificho
sifanyi papara
na kusemasema ovyo
nitakosa maana
nitakosa uaminifu
epuka eeh, epuka eeh
epuka eeh, epukana na mambo ya uwongo
epuka eeh, epuka eeh
jambo lisilokuhusu
usilisemeseme ovyo
epuka eeh, epuka eeh
ukiliona usiseme
ukilisikia uliache hapo hapo
epuka eeh, epuka eeh
mambo ya Ngoswe
mwachie Ngoswe mwenyewe
epuka eeh, epuka eeh
pokopokopokopo itakusaidia nini eeh
epuka eeh, epuka eeh
epuka eeh, epukana na mambo ya uwongo...
epuka eeh, epuka eeh
epuka eeh, epukana na mambo ya mbea
epuka eeh, epuka eeh
wewe ni mtoto wa kiume
jaribu kuwa mvumilivu
epuka eeh, epuka eeh
utakuja suta kwa vidole
mbele ya rafiki zako
epuka eeh, epuka eeh
pokopokopokopo itakusaidia nini eeh
epuka eeh, epuka eeh
mambo ya Ngoswe
mwachie Ngoswe mwenyewe
epuka eeh, epuka eeh
utakuja suta kwa vidole
mbele ya rafiki zako
epuka eeh, epuka eeh
| < Prev | Next > |
|---|
