" target="_blank">
LISTEN TO 'CONJESTA'![]()
Artist: Milimani Park Orchestra
Song: Conjesta
Language: Kiswahili
nimetembea pande nyingi za dunia
mashariki... na magharibi... jamani eeh
nikatafute mpenzi mwenye busara
ili kujenga... mapenzi ya kweli
nimetembea pande nyingi za dunia
mashariki... na magharibi... jamani eeh
nikatafute mpenzi mwenye busara
ili kujenga... mapenzi ya kweli
na sasa kwako mpenzi
nimefikia ukingoni eeh
sitegemei kupenda mwengine tena
zaidi yako wee... Conjesta
na sasa kwako mpenzi
nimefikia ukingoni eeh
sitegemei kupenda mwengine tena
zaidi yako wee... Conjesta
na sasa kwako mpenzi
nimefikia ukingoni eeh
sitegemei kupenda mwengine tena
zaidi yako wee... Conjesta
na sasa kwako mpenzi
nimefikia ukingoni eeh
sitegemei kupenda mwengine tena
zaidi yako wee... Conjesta
toto mwenye imani... Conjesta
nimeamua kukupenda wee pekee... duniani
toto mwenye imani... Conjesta
nimeamua kukupenda wee pekee... duniani
niko katika mapenzi mazito
sioni mwingine
wala sisikii ya yeyote yule
ila ni wee
toto mwenye imani... Conjesta
nimeamua kukupenda wee pekee... duniani
toto mwenye imani... Conjesta
nimeamua kukupenda wee pekee... duniani
macho yangu
na masikio yangu
mawazo yangu yote
ni kwako wee
toto mwenye imani... Conjesta
nimeamua kukupenda wee pekee... duniani
toto mwenye imani... Conjesta
nimeamua kukupenda wee pekee... duniani
niko katika mapenzi mazito
sioni mwingine
wala sisikii ya yeyote yule
ila ni wee
toto mwenye imani... Conjesta
nimeamua kukupenda wee pekee... duniani
toto mwenye imani... Conjesta
nimeamua kukupenda wee pekee... duniani
macho yangu
na masikio yangu
mawazo yangu yote
ni kwako wee
toto mwenye imani... Conjesta
nimeamua kukupenda wee pekee... duniani
toto mwenye imani... Conjesta
nimeamua kukupenda wee pekee... duniani
| < Prev | Next > |
|---|
