Artist: Milimani Park Orchestra
Song: Barua Toka kwa Mama
Language: Kiswahili
mama eeh
oh mama
salaam zako nimezipata
ninashukuru kwa kunikumbuka
ingawa barua uliyonitumia
inanitia uchungu
taabu mateso unayoyapata
yananiumiza roho
kwa kuwa baba hayuko nawe
na mimi mwanao
niko mbali sana
mama eeh
oh mama
salaam zako nimezipata
ninashukuru kwa kunikumbuka
ingawa barua uliyonitumia
inanitia uchungu
taabu mateso unayoyapata
yananiumiza roho
kwa kuwa baba hayuko nawe
na mimi mwanao
niko mbali sana
mama eeh
oh mama
salaam zako nimezipata
ninashukuru kwa kunikumbuka
ingawa barua uliyonitumia
inanitia uchungu
taabu mateso unayoyapata
yananiumiza roho
kwa kuwa baba hayuko nawe
na mimi mwanao
niko mbali sana
aeeh, mama eeh
jaribuni kuyasuluhisha mambo hayo
kutengana kwenu kunanipa wasi wasi maneno
sina kaka, sina dada kwa hiyo naomba
muishi kama vile mwanzo
ningali mdogo nahitaji msaada wenu wazazi wangu
aeeh, mama eeh
jaribuni kuyasuluhisha mambo hayo
kutengana kwenu kunanipa wasi wasi maneno
sina kaka, sina dada kwa hiyo naomba
muishi kama vile mwanzo
ningali mdogo nahitaji msaada wenu wazazi wangu
aeeh, mama eeh
jaribuni kuyasuluhisha mambo hayo
kutengana kwenu kunanipa wasi wasi maneno
sina kaka, sina dada kwa hiyo naomba
muishi kama vile mwanzo
ningali mdogo nahitaji msaada wenu wazazi wangu
| Next > |
|---|
