| 
A+ R A-

(1 vote, average 5.00 out of 5)

Furahia

Artist: Mejja & Linda

Song: Furahia

Album: Hali Duni

Year: 2010

Producer: Clement 'Clemo' Rapudo

Record Label: Calif Records


Chorus (Linda)

zidi lazwe unajua ushapewa tumia

zidi lazwe unajua ushapewa tumia

 

Furahia, furahia

furahia...

 

Furahia, furahia

furahia...

 

Verse 1 (Mejja)

spare the rod and spoil the girl so

up your game yaani vile inafaa

wakikukazia kwa moon wee aim the star

wakikuja kushtuka uko very far

kumbuka hii umeambiwa na Okonkwo

uko nyumba yako ndani jua wee ndio sonko

kwa hivyo tambua wee upunguze redio

ambia jirani yako jo abanze maskio

na chodi wako afikirie kwachu au sio

tunakatika size ya wanyama zile ziko

tunaanza na kuku tunamalizia na mosquito

wacha ikubambe na upunguze mawazo

haijalishi ka umesota haijalishi ka uko nazo

furahia maisha weka shida zako kando

furahia maisha, furahia maisha

 

Chorus (Linda)

Furahia, furahia

furahia...

 

Furahia, furahia

furahia...

 

Verse 2 (Mejja)

leo kejani kuna bash mi nafanya

hii bash watu wawili pekee ndio tunajuana

thirty percent walikuja kuchinjiana

seventy percent wote ni ma-gate crasher

na wao ndio huteta hii food haina nyama

jamaa hukualikwa na ndio unabonga sana

ukitoka kwako si ungekuja ka umemanga

bash ikianza hakuna mtu anatupa lugha

zikianza kushika vile watu wanakunywa chupa

kila korna iko busy vile watu wamejikunja

ka uliingia pekee yako mnatoka mkiwa wawili

kama uliingia wawili hutaki mandazi mandazi

hapa utarushwa tu utatokwa baridi

staki maswali funny ati wee ni mkabila gani

ka una ukabila niondokee wee ni mtiaji

furahia maisha staki kujua umetoka wapi

 

Chorus (Linda)

Furahia, furahia

furahia...

 

Furahia, furahia

furahia...

 

Verse 3 (Mejja)

hii ni ya wale kwa kweli wanapendana

jana walikuwa wamekosana na leo wameskizana

kwa mahali Kenya hii wanakatika wameshikana

hii ni ya wale huheshimu wazazi

ndio maana leo wamekupatia ruhusa kiasi

ya kuingia club uimbe hii ngoma nami

hii ni ya wale wafuasi wa genge

wafuasi damu wako na genge milele

California, hadi mwisho

usipoteze macho ukiniambia nitoke huko

hii ni ya wale huishi tu vi-simple

hiyo ndio maisha ichukue vile iko

hii ni ya wale wako shule wanasoma

ama wee ni hawker ama wee huuza gikomba

wee kula jasho yako kila siku ukichoka

furahia maisha ukiskia hii ngoma

 

Chorus (Linda)

zidi lazwe unajua ushapewa tumia

zidi lazwe unajua ushapewa tumia

 

Furahia, furahia

furahia...

 

Furahia, furahia

furahia...


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 3593 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)