Artist:Mc Billy Josh
Song:Sina maringo
Year:2011
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Kusema ukweli Billy sina maringo
msichana mweuoe mtoto wa moyo
kipendo wangu mmoja we ndio mrembo
nishike polepole kwenye hii wimbo
ulinipromise utanikisskiss
kwenye lips zangu mi nikiguza your hip
msichana figure nane we ndio mrembo
nishike polepole kwenye hii wimbo
VERSE 1 LYRICS:
Cheki Billy Josh, the hottest star
hakuna kushangaa, usipojipa ma'
nisauti ya mtaa mi sijalishi saa
minapenda jamaa si m...
isio ni tamaa ndio kunipa ma'
kama ni chapa ushanipenda ma'
unawaka kama taa mi nang'ara kama star
uko kwenye mtaa, hakuna kushangaa
wala kukataa, saa hii si kukaa ni kuwaka kama taa
wengine kama kaa ndio wajue we ni star
usije kufa njaa tena hapo kwenye mtaa
kuwa model na uwablow na chapaa
ndio wajue we maslai
CHORUS LYRICS:
Kusema ukweli Billy sina maringo
msichana mweuoe mtoto wa moyo
kipendo wangu mmoja we ndio mrembo
nishike polepole kwenye hii wimbo
ulinipromise utanikisskiss
kwenye lips zangu mi nikiguza your hip
msichana figure nane we ndio mrembo
nishike polepole kwenye hii wimbo
VERSE 2 LYRICS:
Mtoto mwenye figure, nakupenda ma'
sijaenda na itakuwa ni balaa
wakipata majamaa tena kama mimi ma'
nina tamaa ile ya kukoma ma'
sitakuwacha, nitakushika tu kama super glue
mwisho utadhani nimedu kumbe nimegusa tu
mtoto wa rela, nakupenda ma'
sioni choyo ma' mapenzi kukupa
nyoosha moyo ma', uyachukue tu na ikiwa tumedu
si ni mara moja tu
CHORUS LYRICS:
Kusema ukweli Billy sina maringo
msichana mweuoe mtoto wa moyo
kipendo wangu mmoja we ndio mrembo
nishike polepole kwenye hii wimbo
ulinipromise utanikisskiss
kwenye lips zangu mi nikiguza your hip
msichana figure nane we ndio mrembo
nishike polepole kwenye hii wimbo
VERSE 3 LYRICS:
Sitaki kukubo jo, umegonga four hadi ukafika soh
tafadhali twende show, tena carnivore
mimi nina doh, mtoto wa Babus
utapanda bu, ikiwa itaboom nitakuwa juu tu
kama Mr. Blue, si ati ninaboast baby nitakuwa boss
mimi Billy Josh bila ya kuforce
huyo boy atalost mi nitakuwa tu kilosh
CHORUS LYRICS:
Kusema ukweli Billy sina maringo
msichana mweuoe mtoto wa moyo
kipendo wangu mmoja we ndio mrembo
nishike polepole kwenye hii wimbo
ulinipromise utanikisskiss
kwenye lips zangu mi nikiguza your hip
msichana figure nane we ndio mrembo
nishike polepole kwenye hii wimbo