" target="_blank">
LISTEN TO 'KIFO CHA KARUME'![]()
Artist: Mbaraka Mwinseshe
Song: Kifo Cha Karume
Language: Kiswahili
Tanzania nzima
kapukutika machozi wowowowo
kuondokewa na Makamu wetu wa kwanza
Cher Karume
wowowowo...
Tanzania nzima
kapukutika machozi wowowowo
kuondokewa na Makamu wetu wa kwanza
Cher Karume
wowowowo...
Kifo cha Karume
kimeweka pengo kubwa kwa Waafrika
wapigania ukombozi wa bara letu
shujaa Karume oh
wowowowo...
Kifo cha Karume
kimeweka pengo kubwa kwa Waafrika
wapigania ukombozi wa bara letu
shujaa Karume oh
wowowowo...
ni vibaraka wale
wenye mawazo ya kufukwa ndio wabaya
walioua kiongozi mwana mapinduzi
Cher Karume wo
wowowowo...
ah, Karume, mwana mapinduzi
wa Afrika...
kifo chake hakitosahaulika daima...
maongozi aliowacha yatadumu milele...
Afro shirezi
msife moyo
mwana mapinduzi wote wa Unguja
shabaha yetu
na lengo letu
mapinduzi yangu
huja yadumu milele oye
linachowindwa
si viongozi
bali siasa yetu ya kuleta usawa
| < Prev | Next > |
|---|

Receive my thanks for making such songs available for our listening. God bless you.