Artist: Mbaraka Mwinshehe
Song: Jacinta
Language: Kiswahili
Jacinta, shemeji yangu eeh
mambo unayotenda hayo si mambo
bali ni sarakasi, siwezi tena kuyavumilia
barua nishaiandika
kwa uchungu niliyo nao moyoni
nimwelezee rafiki vituko vyako hapa mjini
Jacinta, shemeji yangu eeh
mambo unayotenda hayo si mambo
bali ni sarakasi, siwezi tena kuyavumilia
barua nishaiandika
kwa uchungu niliyo nao moyoni
nimwelezee rafiki vituko vyako hapa mjini
Jacinta, shemeji yangu eeh
mambo unayotenda hayo si mambo
bali ni sarakasi, siwezi tena kuyavumilia
barua nishaiandika
kwa uchungu niliyo nao moyoni
nimwelezee rafiki vituko vyako hapa mjini
rafiki yangu
huku mchumba wako
hivyo vioja vyake
vinatushangaza
hashikiki mitaani usiku kwake mchana
uje umhamishe utakula hasara
usije nipa lawama
nimeshakueleza
hasikii la watu
Jacinta huyo
rafiki yangu
huku mchumba wako
hivyo vioja vyake
vinatushangaza
hashikiki mitaani usiku kwake mchana
uje umhamishe utakula hasara
usije nipa lawama
nimeshakueleza
hasikii la watu
Jacinta huyo...
rafiki yangu
huku mchumba wako
hivyo vioja vyake
vinatushangaza
hashikiki mitaani usiku kwake mchana
uje umhamishe utakula hasara
usije nipa lawama
nimeshakueleza
hasikii la watu
Jacinta huyo
| < Prev | Next > |
|---|
