Artist: Mbaraka Mwinshehe
Song: Fadhili ya Punda
Language: Kiswahili
walinitukana sana
kwa ajili yako
nilipisha cheko sana
kwa ajili yako
walinipiga,
na isitoshe
nilitaka kupata kichaa
na yote hayo
yasingenipata
kwa ajili yako
walinipiga,
na isitoshe
nilitaka kupata kichaa
na yote hayo
yasingenipata
kwa ajili yako
walinitukana sana
kwa ajili yako
nilipisha cheko sana
kwa ajili yako
walinipiga,
na isitoshe
nilitaka kupata kichaa
na yote hayo
yasingenipata
kwa ajili yako
walinipiga,
na isitoshe
nilitaka kupata kichaa
na yote hayo
yasingenipata
kwa ajili yako...
fadhili ya punda imekuwa mateke
nimeamini wasemayo Waswahili
nina huruma leo wanikataa
nafikiri nikalie kwa nani
fadhili ya punda imekuwa mateke
nimeamini wasemayo Waswahili
nina huruma leo wanikataa
nafikiri nikalie kwa nani...
| Next > |
|---|
