Artist: Maximum Melodies
Song: Mwamba
Year: 2007
Language: Kiswahili
Chorus
Ni Mwamba (amenibamba)
ukitaka (atakubamba wee)
ni Mwamba (amenibamba)
songeni kando kando kwani Yesu ndiye Mwamba
Ni Mwamba (amenibamba)
ukitaka (atakubamba wee)
ni Mwamba (amenibamba)
songeni kando kando kwani Yesu ndiye Mwamba
Verse 1
mimi jina Lafu juu yangu ni Mwamba
adui hawezi kabisa kunibamba
Yesu kanificha michemi ya Mwamba
na yeye shetani amefungwa na kamba
kababaika, hangaika, kasirika
kazunguka zunguka akitutafuta
shetani hawezi kabisa kutupata
hajui kwamba si tushampata Mwamba
Chorus
Ni Mwamba (amenibamba)
ukitaka (atakubamba wee)
ni Mwamba (amenibamba)
songeni kando kando kwani Yesu ndiye Mwamba
Ni Mwamba (amenibamba)
ukitaka (atakubamba wee)
ni Mwamba (amenibamba)
songeni kando kando kwani Yesu ndiye Mwamba
Verse 2
popote Mwamba alienda kule alitenda mema
ndugu dada mpokee naye atende mema
ushampata mambo yote iko sawa
hata upate yote yawa sawa sawa
tushirikeni sote
Believers in Christ
mila ukabila chuki
tuweke kando
yesu Mwamba
Kristo simba
bado baharini hamwezi huyu Mwamba
ni mwokozi
anaokoa
kando utabaki kweli kuwa ndiye Mwamba
Chorus
Ni Mwamba (amenibamba)
ukitaka (atakubamba wee)
ni Mwamba (amenibamba)
songeni kando kando kwani Yesu ndiye Mwamba
Ni Mwamba (amenibamba)
ukitaka (atakubamba wee)
ni Mwamba (amenibamba)
songeni kando kando kwani Yesu ndiye Mwamba
Verse 3
Yesu Kristo akiwa bado yuko hapa earth
yeye anabaki forever kuwa ndiye first
wee nang'ana kazana kazana
ni wewe umekatakata kuamini
mateso na mashida shida ni za nini
na yet kuna Yesu unaweza kuamini
ukimpatapata (wee uta-conquer)
kwa hakikakika (ye ndiye anchor)
tunasema sote (wee uokoke)
popote wa milele (milele uwe)
Chorus
Ni Mwamba (amenibamba)
ukitaka (atakubamba wee)
ni Mwamba (amenibamba)
songeni kando kando kwani Yesu ndiye Mwamba
Ni Mwamba (amenibamba)
ukitaka (atakubamba wee)
ni Mwamba (amenibamba)
songeni kando kando kwani Yesu ndiye Mwamba
Verse 4
nimejificha chini ya huyo Mwamba
Mwamba imara asiyetingisika
nimejificha chini ya huyo Mwamba
Mwamba imara asiyetingisika
msalaba
ndio ngao yangu
msalaba ndio nguzo yangu
msalaba
ndio ngao yangu
msalaba ndio nguzo yangu
nani aokoa (Mwamba)
nani akomboa (Mwamba)
nani afufua (Mwamba)
eti (Mwamba)
sema (Mwamba)
nani ni mwokozi (Mwamba)
nani ni mkombozi (Mwamba)
nani mfariji (Mwamba)
eti (Mwamba)
sema (Mwamba)
Chorus
sifuni Mwamba (amenibamba)
ukitaka (atakubamba wee)
ni Mwamba (amenibamba)
songeni kando kando kwani Yesu ndiye Mwamba
sifuni Mwamba (amenibamba)
ukitaka (atakubamba wee)
ni Mwamba (amenibamba)
songeni kando kando kwani Yesu ndiye Mwamba
| < Prev | Next > |
|---|
