Artist: Maximum Melodies
Song: Emanueli
Chorus
Emanueli
amefanya maajabu
oh-oh, eh-eh, ah-ah
ni mwokozi
amefanya maajabu
oh-oh, eh-eh, ah-ah
Verse 1
kuzaliwa na kuishi kwake (kufa na kufufuka)
Emanueli anabaki kuwa (ndiye alishinda)
kafufuka, akaponya, kaokoa (ametulisha)
njia zake za ajabu (watu wote twawapasha)
Emanueli ni wa nguvu, ukimpata una nguvu
bila yeye hatuwezi, tutabaki tuko tupu
kasamehe, katujaza roho yake mtakatifu
nasi sasa tunaimba Emanueli wa ajabu
Chorus
Emanueli
amefanya maajabu
oh-oh, eh-eh, ah-ah
ni mwokozi
amefanya maajabu
oh-oh, eh-eh, ah-ah
Verse 2
nasoro mbichi njaro yako hapo hai tena
kipofu Bethsaida ye ka mmoja ashakuona
kamwambia buda father na akanena sawa sawa
tupa na mwokovu
mzima wa milele
roho mtakatifu
yuko tele tele
Chorus
Emanueli
amefanya maajabu
oh-oh, eh-eh, ah-ah
ni mwokozi
amefanya maajabu
oh-oh, eh-eh, ah-ah
Verse 3
wewe ni Mungu baba nyakati zote
umetenda mema siku zote
tutakusifu sisi siku zote
hakuna mwengine kama wewe Emanueli
nakuja na ujira
wake mkononi
cheki usisleki
ukiwa feki utabaki
Chorus
Emanueli
amefanya maajabu
oh-oh, eh-eh, ah-ah
ni mwokozi
amefanya maajabu
oh-oh, eh-eh, ah-ah
Verse 4
twakusifu leo
wastahili sifa
utukufu wote
ni wako leo
twakusifu leo
wastahili sifa
utukufu wote
ni wako leo
Chorus
Emanueli
amefanya maajabu
oh-oh, eh-eh, ah-ah
ni mwokozi
amefanya maajabu
oh-oh, eh-eh, ah-ah
| < Prev | Next > |
|---|
