" target="_blank">
LISTEN TO 'AMETENDA'![]()
Artist: Maximum Melodies
Song: Ametenda
Year: 2006
Producer: Robert Kamanzi
Record Label: Shammah Boy Records
Chorus
haya leo tumetenda
pokea sifa
na kwa yale utatenda wewe ni bwana
haya leo tumetenda
pokea sifa
na kwa yale utatenda wewe ni bwana
Verse 1
ni tabibu kanitibu roho yangu eeh
kafungua bila kujua kwake ye pekee
akaingia nikasikia amani kalete
kuna sababu ya kitabu rohoni uweke
ukijaribu kuwa neema tendo yake utashanga
sauti yake yanguruma yajaza yote anga
ndani yake nimetulia na roho yangu inang'aa
siondoki sipotoki na job yake hakuna balaa
sijali less, sina stress, kani-bless, see the case
amani daima, moyoni ntaimba
sitalia, fikiria, nimetulia, nilipie
kani-feel, kawa real, nika-heal, sina bill
Chorus
haya leo tumetenda
pokea sifa
na kwa yale utatenda wewe ni bwana
haya leo tumetenda
pokea sifa
na kwa yale utatenda wewe ni bwana
Verse 2
from deep down my heart sifa zina-come flowing
napigwa na butwaa niki-think of pendo lako
umeni-love despite the evil that I did
siwezi goma kukusifu hata siku one
kwa giza ulinitoa
nikawa niko poa
nami nikajiloa
kwa damu akaniokoa
watu wakinilenga
yeye ananipenda
kwani nimejijenga
kwa msingi ulio bora
Chorus
haya leo tumetenda
pokea sifa
na kwa yale utatenda wewe ni bwana
haya leo tumetenda
pokea sifa
na kwa yale utatenda wewe ni bwana
Verse 3
up and down, Jehovah you are the ruler
neema na rehema zako zanitosha mie
bila shaka ntakusifu mola wangu
kwa makubwa na madogo na kwa yale utado
kaniweka huru
baada ya kutubu
akanijaza na wema wake
sa mi sina shaka
kanipa baraka
tena mafuta akanipaka
Chorus
haya leo tumetenda
pokea sifa
na kwa yale utatenda wewe ni bwana
haya leo tumetenda
pokea sifa
na kwa yale utatenda wewe ni bwana
| Next > |
|---|
