Artist: Masha Mapenzi
Song: Nafsi Yangu
Year: 2010
Producer: Chris Adwar
Language: Kiswahili
naja mbele zako Bwana
Mungu wa majeshi
najitoa kama thabihu
iliyo hai
ipokee Bwana
mimi kiumbe hafifu
unifanye
niwe wako
naja mbele zako Bwana
Mungu wa majeshi
najitoa kama thabihu
iliyo hai
ipokee Bwana
mimi kiumbe hafifu
unifanye
niwe wako
unitumie upendavyo
unitume utakako
mimi chombo
chako Bwana
nafsi yangu yakutamani
Bwana
kama vile paa
atamani maji
ndivyo nafsi yangu
yakutamani
nafsi yangu
yakutamani
niumbie moyo safi
eeh Mungu
unitilie roho mpya
na thabiti
usinipokonye roho wako
usinitupe mbali nawe
nirejeshee
uokovu
sala zangu zisikie
kilio changu kisikize
unipe moyo
wa kutii
nafsi yangu yakutamani
Bwana
kama vile paa
atamanivyo maji
ndivyo nafsi yangu
yakutamani
nafsi yangu
yakutamani
nafsi yangu yakutamani
Bwana
kama vile paa
atamanivyo maji
ndivyo nafsi yangu
yakutamani
nafsi yangu
yakutamani
| < Prev | Next > |
|---|
