Artist: Masha Mapenzi
Song: Mahewa
Year: 2010
Language: Kiswahili
Chorus
leo sisi tuko na mahewa
tuko na muziki
viti meza tumeshasongesha
tuko poa
nafasi na tumeshatengeza
tumsifu Bwana
tumsifu Bwana
Verse 1
Bwana ndiye mchungaji wangu
sitapungukiwa na kitu
hunipumzisha malishoni
huniongoza kizitoni
huihuisha nafsi yangu
ijapopitapo nini Mwamba yote mimi sitaogopa
sitaogopa
Chorus
leo sisi tuko na mahewa
tuko na muziki
viti meza tumeshasongesha
tuko poa
nafasi na tumeshatengeza
tumsifu Bwana
tumsifu Bwana
Verse 2
Matayo saba saba yasema
ombeni nanyi
mtapewa
tafuteni
mtapata
bisheni mlango
mlango utafunguliwa
utafunguliwa
Chorus
leo sisi tuko na mahewa
tuko na muziki
viti meza tumeshasongesha
tuko poa
nafasi na tumeshatengeza
tumsifu Bwana
tumsifu Bwana
leo sisi tuko na mahewa
tuko na muziki
viti meza tumeshasongesha
tuko poa
nafasi na tumeshatengeza
tumsifu Bwana
tumsifu Bwana
Halleluya, Hosanna
Halleluya, Hosanna
Halleluya, Hosanna
Halleluya, Hosanna
Chorus
leo sisi tuko na mahewa
tuko na muziki
viti meza tumeshasongesha
tuko poa
nafasi na tumeshatengeza
tumsifu Bwana
tumsifu Bwana
| < Prev | Next > |
|---|
