| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Pepea

Artist: Marsh
Song: Pepea

Intro

Someni vijana
muongeze pia Big G
mwisho wa kuchonga
mtakosa usingizi sana

Chorus
tunapepea tuna pewa pewa
tunaapepea tuna pewa pewa
tunapepea tuna pewa pewa
tunaapepea tuna pewa pewa

Verse 1
Leo ni siku ya ngoma (aaah)
hatuki manoma
mamanzi katakata (kata)
hatari shika shika (shika)
usiku umefika
na ngoma imeshika
leo tunakatika
bomani tutafika
kauzi chunga chunga (chunga)
karau chunga chunga (chunga)
kauzi chunga chunga (chunga)
karau chunga chunga

Chorus
tunapepea tuna pewa pewa
tunaapepea tuna pewa pewa
tunapepea tuna pewa pewa
tunaapepea tuna pewa pewa

Verse 2
Cheky wale masister (sister)
wakizienda enda (enda)
matako watingiza
akili napoteza
astaili wakiimiza
nabaki kuzubaa
meza zimechafuka
machupa kupasukaa
leo tunazirusha
mahewa kuangusha

Chorus
tunapepea tuna pewa pewa
tunaapepea tuna pewa pewa
tunapepea tuna pewa pewa
tunaapepea tuna pewa pewa

Verse 3
Ukisikia zimeshika
twende tu lakini wika
masikio weka kwa spika
masupuu wote tingisha
better tafuta fresh air
manzi amebebesha
na kama huna kipusa
pitia kwangu masaa (aaaa)
nitakuitia rosa
akutingizie rosaa
nitakuitia rosa
akutingizie rosaa (rosaa rosaa)

Chorus
tunapepea tuna pewa pewa
tunaapepea tuna pewa pewa
tunapepea tuna pewa pewa
tunaapepea tuna pewa pewa


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 979 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)