Artist: Maroon Commandos
Song: Christina
Language: Kiswahili
Christina dada
uko wapi
nakutafuta, sikuoni
nimejaribu sana kukutafuta
na kila nifikapo sikuoni
lakini kwa bahati umenikumbuka
kwani barua uliyoituma nimeipata
sasa nakuomba unieleze
siku ambayo utafika
sasa nakuomba unieleze
siku ambayo utafika
Christina dada
uko wapi
nakutafuta, sikuoni
nimejaribu sana kukutafuta
na kila nifikapo sikuoni
lakini kwa bahati umenikumbuka
kwani barua uliyoituma nimeipata
sasa nakuomba unieleze
siku ambayo utafika
sasa nakuomba unieleze
siku ambayo utafika
Christina dada
uko wapi
nakutafuta, sikuoni
nimejaribu sana kukutafuta
na kila nifikapo sikuoni
lakini kwa bahati umenikumbuka
kwani barua uliyoituma nimeipata
sasa nakuomba unieleze
siku ambayo utafika
sasa nakuomba unieleze
siku ambayo utafika
siku gani dada,
utakuja
nikungojee
sitesheni
ningekuwa na uwezo
ningekutumia nauli ya ndege
ili ufike haraka
nimekukosa
mama
nimekukosa
siku nyingi
nimekukosa
mama
nimekukosa
siku nyingi
siku gani dada,
utakuja
nikungojee
sitesheni
ningekuwa na uwezo
ningekutumia nauli ya ndege
ili ufike haraka
nimekukosa
mama
nimekukosa
siku nyingi
nimekukosa
mama
nimekukosa
siku nyingi
| < Prev |
|---|
