" target="_blank">
LISTEN TO 'AMUA NIKUACHIE KAZI'![]()
Artist: Maroon Commandos
Song: Amua Nikuachie Kazi
Language: Kiswahili
eeh bwana
nashindwa na mambo yako
na nyumbani hata kidogo hutoki eeh
eeh bwana
nashindwa na mambo yako
na nyumbani hata kidogo hutoki eeh
hata shughuli za nyumba hazifanyiki
kwani saa zote bwana huko nyumbani
hata shughuli za nyumba hazifanyiki
kwani saa zote bwana huko nyumbani
mara kwa mara wee waingia jikoni bwana
naona nikuwachie upishi
mara kwa mara wee waingia jikoni bwana
naona nikuwachie upishi
eeh bwana
nashindwa na mambo yako
na nyumbani hata kidogo hutoki eeh
eeh bwana
nashindwa na mambo yako
na nyumbani hata kidogo hutoki eeh
hata shughuli za nyumba hazifanyiki
kwani saa zote bwana huko nyumbani
hata shughuli za nyumba hazifanyiki
kwani saa zote bwana huko nyumbani
mara kwa mara wee waingia jikoni bwana
naona nikuwachie upishi
mara kwa mara wee waingia jikoni bwana
naona nikuwachie upishi
ewe bwana badili tabia
uwe kama wenzako
ewe bwana badili tabia
uwe kama wenzako
tangu lini wapishi wawili wapike chungu kimoja
tangu lini wapishi wawili wapikie chungu kimoja
amua mwenyewe
nikuwachie kazi
amua mwenyewe
nikuwachie kazi
kubishana na wee pamoja na watoto kumenichosha
kubishana na wee pamoja na watoto kumenichosha
onja onja chakula
kwa sufuria sio vyema
onja onja chakula
kwa sufuria sio vyema
amua mwenyewe
nikuwachie kazi
amua mwenyewe
nikuwachie kazi
ewe bwana badili tabia
uwe kama wenzako
ewe bwana badili tabia
uwe kama wenzako
tangu lini wapishi wawili wapike chungu kimoja
tangu lini wapishi wawili wapikie chungu kimoja
amua mwenyewe
nikuwachie kazi
amua mwenyewe
nikuwachie kazi
kubishana na wee pamoja na watoto kumenichosha
kubishana na wee pamoja na watoto kumenichosha
onja onja chakula
kwa sufuria sio vyema
onja onja chakula
kwa sufuria sio vyema
amua mwenyewe
nikuwachie kazi
amua mwenyewe
nikuwachie kazi
| < Prev | Next > |
|---|
