">
LISTEN TO 'YA KALE YAMEPITA'![]()
Artist: Marion Shako
Song: Ya Kale Yamepita
Language: Kiswahili
Inua shangwe, uliyeitwa tasa
Inua wimbo, yakale yamepita
Panua hema yako, panua pazia zako
Utaenea pande zote, yakale yamepita
Bwana asema -Tizama tena, tizama tena
Yakale yamepita natenda kitu kipya*3
Bwana atakuwa, Mume wako
Mkombozi wako, sahau ya kale
Hakuna silaha, itakayo inuka kinyume chako
Usiogope, atayafanya yote mapya
| < Prev |
|---|
