Song: Wa Milele
Language: Kiswahili
Baba nakupa sifa tele,
kwakuwa wewe hauna mwisho
Wee Alfa, All- na Omega,
Mungu wangu ni wa milele
Wa milele, wamilele
weee Bwana ni wa milele*2
Sifa kwa mwana Kondo, aliyeketi
Kiti cha enzi.
Sina hofu sina Shaka
Najua wewe hauna mwisho..*2
Nakupa sifa Bwana-Niwa milele
Pokea utukufu Bwana –Niwa milele
Unuliwe Mungu wetu-Ni wamilele
Bam bam bam bam..
Bridge…wa milele….
Yaweh ni Mungu
Huruma za Bwana-nitele, Rehema zako- Hazikomi
Ni mpya kila –asubuhi, uaminifu wako ni wa mkuu*2
Furaha yako, ni nguvu zangu
Neno lako, ni taa yangu
Mashariki, magharibi nikitizama, Yaweh ni Mungu
Kaskazini, na kusini, nikitizama Yaweh Mungu.*2
Upendo wako-kainua, nguvu zako- kaniokoa
Nikupe nii Mungu wangu, Pendo lako-nila milele*2
mimina upendo wako Yaweh- Yaweh-mimina upendo wako*2
Rehema Rehema Mimina mimina
| < Prev | Next > |
|---|
