Artist: Marion Shako
Song: Ushindi
Language: Kiswahili
Majeshi Yali ni zingira
Adui walinitisha
Lakini ikakupendeza
Kunipigania *2
Umenifuta machozi
Umeondoa kilio
Umenipa Ushindi
Asante Mungu Wangu
Sijivuni Ushindi
Najivunia Msalaba
Yakwamba kwake Yesu
Naweza Kuyatenda Yote*2
Sio kwa nguvu zangu
Sio kwa uwezo wangu
Wala sio kwa majeshi
Nikwaa Roho wako*2
Umenifuta machozi
Umeondoa kilio
Umenipa Ushindi
Asante Mungu Wangu
| < Prev | Next > |
|---|
