Artist: Marion Shako
Song: Neno Moja
Language: Kiswahili
Bwana ni Nuru Yangu
Na wokovu wangu
Ni mwogope nani*2
Neno Moja, nimelitamani
Nikae Nyumbani mwa Bwana
Siku zote.
Niutazame, uzuri wake
Nitafakari, hekaluni mwake
Kichwa changu, kitainuka
Juu, ya adui zangu
Nitatoa, dhabihu za shangwe
Hemani, mwake nitaimba
Neno Moja-Nimetamani
Neno Moja –Nimetamani
Neno Moja-Niiiiiiimetamani*3
| < Prev | Next > |
|---|
