Artist: Marion Shako
Song: Nakungojea
Language: Kiswahili
Ulisema Baba, nikikungojea
Bwana utanipa nami nguvu mpya
Ulisema Baba nikikungojea
Nitapiga mbio wala sitachoka
Sema nami Bwana, Bado nakungoja
Sema nami, Roho yangu yakutamani
Nainua macho yangu nakutazama
Sema nami wewe ndio jibu langu*2
Ulisema Baba, nikukungojea
Nita paa juu kama tai
Ulisema baba nikikungojea
Nitatembea wala sitazimia
| < Prev | Next > |
|---|
