Artist: Marion Shako
Song: Mateso
Language: Kiswahili
Verse 1
Jina la yesu ngome imara
Mwenye haki hukimbilia kawa salama
Macho ya bwana humwelekea
Mwenye haki kilio chake hukisikia
Chorus
Mateso ya mwenye haki nayo ni mengi
Lakini Bwana humuokoa nayo yote
kama si wewe, kama si wewe Yesu
Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
Verse 2
Bwana U karibu na mwenye haki
waliopondeka roho yeye huwahifadhi
Humuifadhi mifupa yake
hukumbuka nafsi za watumishi wake
Chorus
Mateso ya mwenye haki nayo ni mengi
Lakini Bwana humuokoa nayo yote
kama si wewe, kama si wewe Yesu
Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
Verse 3
Wewe ni Mungu
wewe ni baba
Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
Wewe ni ngome ya maisha yangu
Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
Sifa zako zi kinywani mwangu
Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
Hafananishwi, hafananishwi Yesu
Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
Chorus
Mateso ya mwenye haki nayo ni mengi
Lakini Bwana humuokoa nayo yote
kama si wewe, kama si wewe Yesu
Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
| < Prev | Next > |
|---|
