Artist: Marion Shako
Song: Jina la Yesu
Album: Inuka Bwana
Year: 2010
Producer: Abeddy Ngosso
Language: Kiswahili
Verse 1
Nalijua jina moja, jina lenye thamani
Nalijua jina moja, jina lenye thamani
Nalijua jina moja, jina lenye thamani
Nalijua jina moja, jina lenye thamani
Chorus
Naliita jina la Yesu,yawe ngome imara
Mwenye haki hukimbilia,Naye akawa salama

Verse 2
Najua utamu wa hili jina,Nilimwita akaniokoa

Verse 3
Wanyonge waliita, wenye haki waliinua
Jina hili ni ngome imara, kwa yule anayeliita

| < Prev | Next > |
|---|