Artist: Marion Shako
Song: Inuka Uangaze
Language: Kiswahili
Inua macho yako, utazame pande zote
Utajiri wa mataifa, washuka kwako
Utukufu wake Bwana, umekuzukia
Bwana akuita, Uangaze
Inuka uangazee, nuru imekuja
Utukufu wake Bwana, Uujuu yako
Utukufu wake Bwana, Umekuzukia
Inuka uangaze, Nuru imekuja
Jua halitakuwa nuru yako kwa mchana
Wala mwezi hautakupa, mwanga wake
Bali Bwana atakuwa, Nuru ya milele
| < Prev | Next > |
|---|
