">
LISTEN TO 'INUKA BWANA INUKA'![]()
Artist: Marion Shako
Song: Inuka Bwana Inuka/ Arise Oh God!
Language: Kiswahili
Nyakati zangu zimikononi mwako –Inuka Bwana Inuka
Nikomboe na adui zangu –Inuka Bwana Inuka
Nizingire na moto wako, nifinike na mbawa zali
Inuka Inuka Bwana, Maadui watawanyike.
Inuka Inuka Bwana, Maadui watawanyike.*2
Arise Oh God Arise, Let your enemies be scattered
Arise Oh God arise, Let your enemies be Scattered.*2
Angaza uso wangu –Inuka Bwana Inuka
Niokoe kwa upendo wako –Inuka Bwana Inuka
Nikumbuke kwa rehema zako, Bila wewe sitaaweza
| < Prev | Next > |
|---|
