" target="_blank">
LISTEN TO 'AHADI ZAKE'![]()
Artist: Marion Shako
Song: Ahadi Zake
Album: Msaada Wangu
Language: Kiswahili
Verse 1
nafsi yangu isichoke
roho yangu msifu bwana
aliahidi atatenda
mtumanie bwana
ahadi zake ni za milele
akiahidi atatenda
roho yangu, nafsi yangu
mtumanie bwana
Chorus
kama mvua ishukavyo
toka mbinguni kwenye ardhi
na neno lake kwa kinywa chake
halitarudi bure
nitatimiza mapenzi yake
nitatenda alivyosema
aliahidi atatenda
mtumanie bwana
kama mvua ishukavyo
toka mbinguni kwenye ardhi
na neno lake kwa kinywa chake
halitarudi bure
nitatimiza mapenzi yake
nitatenda alivyosema
aliahidi atatenda
mtumanie bwana
Verse 2
mawazo yake sio yetu
njia zake si kama zetu
mbingu zilivyo juu ya nchi
mawazo yake ni makuu
ataagiza fadhili zake
wimbo wake kwangu usiku
sifadhaike usiiname
mtumanie bwana
Chorus
kama mvua ishukavyo
toka mbinguni kwenye ardhi
na neno lake kwa kinywa chake
halitarudi bure
nitatimiza mapenzi yake
nitatenda alivyosema
aliahidi atatenda
mtumanie bwana
kama mvua ishukavyo
toka mbinguni kwenye ardhi
na neno lake kwa kinywa chake
halitarudi bure
nitatimiza mapenzi yake
nitatenda alivyosema
aliahidi atatenda
mtumanie bwana
| Next > |
|---|
