Artist: Man Ingwe
Song : Wrong Number
Year: 2011
Language: Kiswahili
Chorus
Hii ni wrong number, sio number ya mbinguni, lakini bwana Yesu ndio njia ya uzima,
Alikufa msalabani kwa sababu yangu na wewe! Usilie atakusaidia!
Hii ni wrong number, sio number ya mbinguni, lakini bwana Yesu ndio njia ya uzima,
Alikufa msalabani kwa sababu yangu na wewe! Usilie atakusaidia!
Part one
Speaker 1: Hallo! Hallo! Hapo ni kwa Jehovah Wanyonyi!
Speaker 2: Samahani! Hii ni wrong number!
Speaker 1:Hallo! Hallo! Haiwezekani kua wrong number nilipewa na pastor makoa! Akaniambia nikipiga hii number nitapewa direct niongee na Jehovah Wanyonyi!
Speaker 2:Pastor alikupea number gani?
Speaker 1:Ilikua 0721663600, akasema mwenye nitaongea nayeye atanipatia mungu direct niongee naye, nimwambie shida zangu!
Speaker 2:Okay, hiyo ni number yangu, mimi ninaitwa man ingwe, hapa si kwa Jehovah wanyonyi, lakini mimi nimamjua Yesu, naweza kukuelekeza kwa huyu Yesu!
Chorus
Hii ni wrong number, sio number ya mbinguni, lakini bwana Yesu ndio njia ya uzima,
Alikufa msalabani kwa sababu yangu na wewe! Usilie atakusaidia!
part two
Speaker 2: Sasa ndungu yangu unaitwa nani,
Speaker 1 :mimi naitwa ingosi!
Speaker 2:Naungependa kumwambia nini mungu, ili nijue vile nitakusaidia!
Speaker 1: o-o-o sasa umeharibu, unataka kujua shida zangu zile nataka kumwambia mungu, utaziweza?
Mimi ni mwanaume niko na hasira, yaani naeza ua leopard!
Niko na hasira, na taka mungu anijibu hii maswali, kabla nicomit suicide,
Yaani nimeteseka @#&$ @#&$, nataka tu mungu aniambie makosa yangu nini,
Kwasababu afadhali badala ya kuteseka sahizi kwa dunia, alafu niende niteseke kwa moto, afadhali nikufe mara moja niende niteseke mara moja iishe!
Speaker 2: Bwana Ingosi, Shida nini?
Speaker 1: Yaani, Osama na mimi, nani mwenye Dhambi kuliko mwingine,
Osama anaishi vizuri na mimi ninateseka!
Mimi naitwa Judas Iscariot? We ukiangalia majina yetu inafuanana kama hiyo? Majina yetu ni kama Ingwesi, Atwoli! .. hiyo ndio jina zetu!
Hata ukiangalia, yesu aliposulibishwa haiko karibu na sisi! Huko ni calvary, hata iko county gani! Nisaidie kabla nikufe!
Chorus
Hii ni wrong number, sio number ya mbinguni, lakini bwana Yesu ndio njia ya uzima,
Alikufa msalabani kwa sababu yangu na wewe! Usilie atakusaidia!
Part three
Speaker 2: pole sana bwana. Ingosi, mateso yako si kwasababu ulimkosea Yeau, bali y anasababishwa na dhambi na muovo shetani!
Kwahivyo, suluhisho yako ni rahisi kabisa, mkubali yesu kama muokozi wa maisha yako, mane yeye ndiye njia ya ukweli na uzima! Naye ndiye atakupeleka kwake mungu baba!
Je ungependa kupata huu uzima wa milele?
Speaker 1: ndio kabisa!
Speaker 2: sema bwana yesu! Nisamehe dhambi zangu! Nifanye niwe mpya! Niokoe siku ya leo! Asante sana baba!
Speaker 1:Umenifanya namna gani ingwe, umenifanya niwe light, ata naeza fly!
Speaker 2: Sasa kuna watu wanaamini vitu tofauti, kuna watu wanaamini Jehovah Wanyonyi, hiyo ni wrong number!
Kuna watu waamini nyoka, kama umweri, wrong number!
Kuna watu wanamini mt. Kilimanjaro, mt Elgo, hiyo ni wrong number!
Chorus
Hii ni wrong number, sio number ya mbinguni, lakini bwana Yesu ndio njia ya uzima,
Alikufa msalabani kwa sababu yangu na wewe! Usilie atakusaidia!
Hii ni wrong number, sio number ya mbinguni, lakini bwana Yesu ndio njia ya uzima,
Alikufa msalabani kwa sababu yangu na wewe! Usilie atakusaidia!
Hii ni wrong number, sio number ya mbinguni, lakini bwana Yesu ndio njia ya uzima,
Alikufa msalabani kwa sababu yangu na wewe! Usilie atakusaidia!
(wacha kusumbua mungu ati Osama anaishi vizuri, kukushinda, wewe hujui Osama alikufa juzi, nawewe unahuai, hata unaweza fukuza kuku)
-
|Registered |2011-10-06 15:20:31 celits a conversation, not a song!!
| < Prev | Next > |
|---|