Artist:Man Ingwe
Song:Happy Nolia
Year:2011
Language:Kiswahili
Happy nolia...
Merry Christmass
CHORUS LYRICS:
I wish you amerry chrismass
and a happy nolia...
VERSE 1 LYRICS:
Ni muda wa kujivinjari
na mabeshte kwenda safari
kula nyama na kachumbari, na mahamri
watu wote tafakari, Bwana Yesu ni Jemedari
Alizaliwa kwenye Hori na Bikira Mary
kuskiza habari ya upendo Wake
Huyu Bwana Yesu wetu sisi
CHORUS LYRICS:
Nakuuliza mwenzangu ama Bwana Yesu Amezaliwa rohoni mwako
I wish you amerry chrismass
and a happy nolia...
VERSE 2 LYRICS:
Kitambo kidogo, nilipokuwa mimi mdogo
Chrismass ilikuwa inadonjo
kila mtu alikula chonjo
ukipenda kwenda kanisani kuimba nyimbo za injili
kuigiza na mashairi, kukutana na marafiki
nakukunywa creto, chapati moja kwa mwaka
kuvaa maxi na sandak, mix and match na baggi
CHORUS LYRICS:
Nakuuliza mwenzangu ama Bwana Yesu Amezaliwa rohoni mwako
I wish you amerry chrismass
and a happy nolia...
VERSE 3 LYRICS:
At times things are green to you and your kin
I wish you amerry chrismass and a happy nolia
At times things are green to you and your kin
I wish you amerry chrismass and a happy nolia
CHORUS LYRICS:
I wish you amerry chrismass
and a happy nolia...
I wish you amerry chrismass
and a happy nolia...
| < Prev | Next > |
|---|
