Artist:Man Ingwe
Song:Boda boda yangu
Year:2011
Language:Kiaswahili
CHORUS LYRICS:
Boda boda yangu wawili wawili, mimi na mke wangu
kumpenda siku zote ndio mapenzi ya Mungu
Pikipiki yangu wawili wawili, mimi na mume wangu
kumheshimu siku zote, sheria za bodaboda
VERSE 1 LYRICS:
Mungu aliumba Adam na Eve na wala sio na Steve,
Abraham na Sarah, na wala sio na Fara
Josefu na Yemeri na wala sio Melvin
wacha mpango wa Jabu, fwata mpango wa Mungu
CHORUS LYRICS:
Boda boda yangu wawili wawili, mimi na mke wangu
kumpenda siku zote ndio mapenzi ya Mungu
Pikipiki yangu wawili wawili, mimi na mume wangu
kumheshimu siku zote, sheria za bodaboda
VERSE 2 LYRICS:
Nawe mzee ukishaoa, mpango wa kando wachana naye
kuwadadisi shuga dadi, peleka mama polepole nyumbani
kama wako hajang'ara basi wewe ndio mtoweo
mpe pesa, mpe mapenzi, atang'ara kama wengine
kama wewe haumjali basi haumuheshimu Mungu
mpende nyumbani ukimuona, maana humuoni Mungu
CHORUS LYRICS:
Boda boda yangu wawili wawili, mimi na mke wangu
kumpenda siku zote ndio mapenzi ya Mungu
Pikipiki yangu wawili wawili, mimi na mume wangu
kumheshimu siku zote, sheria za bodaboda
VERSE 3 LYRICS:
Nawe mama jikaze, urembo ni ule wa ndani
ata ule wa nje umwonyeshe yote mzee
ata sapoting dokyument zote ni zake mpatie
Muheshimu Mungu naye Atatunza ndoa yako
wapende watoto wako wote, mpende mzee wako vile
naye atakupenda, sifa zimrudie Mungu