Artist: Makamua, QJ & Quick Rocka
Song: Dunia Hii
Language: Kiswahili
Verse 1
uko kwa ajili ya mimi
niko kwa ajili ya wewe
nahitaji kukulinda
kuliko vifaranga
dhidi ya mwewe
wajua dunia sasa
imejawa na anasa
wajua dunia sasa
imejawa na anasa
Chorus
nasema please please please please
baby my boo tupendane
nasema please please please please
penzi mema tulingane
niko kwa ajili ya wewe
uko kwa ajili ya mimi
tupendane
niko kwa ajili ya wewe
uko kwa ajili ya mimi
kama milele
Verse 2
penzi naomba unijali
kwenye raha ama dhiki
popote sisi tutaishi
inatubidi tuwe makini
siku zote nina mawazo tele
yote kwa sababu yako wewe
baby
ni wewe umenifanya
nidate
Chorus
nasema please please please please
baby my boo tupendane
nasema please please please please
penzi mema tulingane
niko kwa ajili ya wewe
uko kwa ajili ya mimi
tupendane
niko kwa ajili ya wewe
uko kwa ajili ya mimi
kama milele
Verse 3
una rangi moja hiyo sijui inaitwaje
si brown, si black sijui niwaze aje
sasa come girl lemme see what your moves are
na madame wa mtaa wasema nawakimbiza
nipe mapenzi hadi nifurahi
kwa ma-kiss na hug nijidai
imma show you what I do kwenye set ya love
toto kama umeshusha from up above
cause my heart ni wee, my trust ni wee
umenifanya nisahau wote yoyo
girl, you got my heart
never turn back cause nina praise ya love
yo kwako wee pekee
mi na wee umenishika lady
hapo tuendelee
milele tutafika baby
Chorus
nasema please please please please
baby my boo tupendane
nasema please please please please
penzi mema tulingane
niko kwa ajili ya wewe
uko kwa ajili ya mimi
tupendane
niko kwa ajili ya wewe
uko kwa ajili ya mimi
kama milele
