Artist/ Band : Mak-4
Title : ME N MY COMPUTER
Album : NAIROBI
Year : 2011
Producer : PRINCE HOTSTEP
Record Label : Unsigned
Chorus
Kila siku nikiamka,
Nipate kwa computer,
Iwe usiku au kumekucha,
Kwa keyboard navunja kucha,
24/7 ni me n my computer,computer,
1st Verse
Sijawahi kanyaga board but nasurf,
Internet ni kitu siwezi get enough,
Computer ni wewe tu nalove,
Because nakutouch,after kuthank God above,
Kwa kuniamsha ili niweze kukuwasha,
Habari unanipasha,
Na kuhusu developments zote unaniupdate,
Unanihypnotise from morning till real late,
Juu unaeducate,Na kurefresh my mind,
Nikitafuta kwako hakuna kitu siwezi find,
Kila day uko in my life,
Bila we siwezi survive,Uko like my wife,
Life bila wewe itakuwa hard,
Unasolve problems za kunidrive mad,
Na nikiget stressed unanientertain,
Zile vitu mimi huona kwako ni insane,
Na watu wanafanya vitu za ujinga na ajabu,
Nacheka hadi,Nasahau my taabu,
Kila siku unamake my day ndio maana nasay
Chorus
2nd Verse
Nkishaunlock my windows xp,
Sasa wacha nishike hiyo keyboard ya qwerty.
Songesha cursor kuselect masite wazimu,
That's if kama sibrowse na simu,
Click hapo kwa address bar,
Nitype web address na nifinye enter,
Nimetype web address ya facebook,
Friends wanasema.wacha nitake a look,
Status nayo niupdate,
Nicheki what's the discussion,of late.
Sasa nani huyu amenitag kwa hii photo,
Watu wengine kwa akili wataremain forever msoto.
Fala fulani bado anaendelea kunipoke,
Nikakupata hautathink it's a funny joke,
Na niko na so many friends requests,
Zingine nakata,Na zingine accept,
Since sitaki watu wakunipa stress,
Sasa nani huyu haunderstand maana ya no.
Unanidiss,wacha tabia za kondoo,
Forget u,kuna photos nafaa kuupload,
Nawonder kama friends watazipa the nod
Chorus
3rd Verse
Twitter ni site moja inanimake colo,
Although ni watatu wananifollow,
Trending topics kare,siezi kosa kutweet,
Favourite tweets nazisave u zit,
My favourite celebs ndio nawafuata like religion,
Nawatweet although,wako in a different, region,
So nafeel,wako tu hapa,karibu,
Enuff of that,wacha nifike youtube,initibu,
From boredom na routine,
Funny videos zinanifnya nismile na kugrin,
Watu wengine kweli,wana brain cells,
Onto E bay nini inamake sales,
Damn!kuna vitu hapa,nawish ningeweza buy.
But I can't,Sigh!
Anyway wacha nisign into,yahoomail,
Inbox haina any new e mail,
Sawa,wacha nicheki the latest,entertainment news.
Nothing new.am about snooze,
What!look at the time.
Leo nimeenjoy,every dime,
Nimepay for my internet,
But it's time,nigoogle hiyo assignment
Chorus
Bridge x 2
Eti a man isn't a multitasker,
Come ucheki my taskbar,
Namultitask like ha ha,
Mabeshte mumenyamaza nasign out,since niko so bored
www.reverbnation.com/Mak-4.
Click this link to listen to ME N MY COMPUTER.
http://www.reverbnation.com/c./poni/32828839
Facebook Player for Mak-4 | Hip Hop
www.reverbnation.com
Mak-4 from Nairobi, KE
