Artist:Madtraxx
Song:Ita waiter
Year:2011
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Ita waiter, ita waiter
Ita waiter, ita waiter...
VERSE 1 LYRICS:
Weh boss, Smirnoff ice, Pilsner Lager
Tusker malt, leta Konyagi bana
na Johnny Walker, pia na Famous Grouse
Smirnoff Vodca, Weh sijamada order
skiza kuna Viceroy hapa? sawa leta na Zapa
chumvi, ndimu na Taquila
Guiness, Gilbys, Amarulla
K.C jo leo tunashura
dancefloor tunaingia later
kwanza fanya nini?...
CHORUS LYRICS:
Ita waiter, ita waiter
Ita waiter, ita waiter...
VERSE 2 LYRICS:
Leo ni full condition
shots, usilete single
leta chupa vile iko
miwani zinaficha vile niko
ju nimekunywa for twenty people
so kesho jobo maze siko
nimerogwa jo DJ Nijo
si urudishe hiyo ngoma maze hivyo
eh niko tipssy, Taxi aje aniokoe
eh Nameless ako wapi, maze jo ajitolee
and I am wasted siwezi simama
niko papers papers na ninatupa mikono weh
weh waiter eh
CHORUS LYRICS:
Ita waiter, ita waiter
Ita waiter, ita waiter...
VERSE 3 LYRICS:
Sijui ni nini, lakini siskii poa
I wish singechanganyisha hiyo Taquila Vodka
weh bouncer mbona unanitoa?
unajifeel ju club imeshona
na mlifungua juzi nikiona
argh, niache niko sober
weh skiza kwanza, niletee ingine
usiniguse basi wacha tu nimalize
ati niache mzinga mzima weh
acha jokes
wacha nichukue moja kabla niende home
CHORUS LYRICS:
Ita waiter, ita waiter
Ita waiter, ita waiter...