Artist: Salvage, Krystin Ndela & Bantu
Song: Kile Ninacho
Album: Aliniita Nikaitika
Year: 2010
Producer: Tim
Language: English
Chorus (Krystin Ndela)
bwana mi nakupa kile ninacho
kwani moyo wangu unalia bado
bwana mi nakupa kile ninacho
moyo wangu wote nautoa kwako
bwana mi nakupa kile ninacho
kwani moyo wangu unalia bado
bwana mi nakupa kile ninacho
moyo wangu wote nautoa kwako
Verse 1 (Krystin Ndela)
wee u mambo yote
na yote uko ndani yako
uhai wangu
mpenzi wa roho yangu
rafiki yangu
who sticks closer than a brother
uwepo wako wanipa furaha tele, tele
nikiwa nawe
naweza kuendelea
sitaki mwengine, sitaki chochote
wee mwenyewe, kila kitu
Chorus (Krystin Ndela)
bwana mi nakupa kile ninacho
kwani moyo wangu unalia bado
bwana mi nakupa kile ninacho
moyo wangu wote nautoa kwako
bwana mi nakupa kile ninacho
kwani moyo wangu unalia bado
bwana mi nakupa kile ninacho
moyo wangu wote nautoa kwako
Verse 2 (Salvage)
baba mi nakupa
kile ninacho
kwani sina changu Baba wewe vyote ni vyako
nilipotea kwa dhambi
uliniokoa nafikiri
na ndio maana moyo wangu una
lia lia bado
uliyenipenda bado mimi nakupenda
uliyenitoa kwenye mauti nakupenda
milele nafsi yangu itakusifu wewe
Chorus (Krystin Ndela)
bwana mi nakupa kile ninacho
kwani moyo wangu unalia bado
bwana mi nakupa kile ninacho
moyo wangu wote nautoa kwako
bwana mi nakupa kile ninacho
kwani moyo wangu unalia bado
bwana mi nakupa kile ninacho
moyo wangu wote nautoa kwako
Verse 3 (Bantu)
from the head mpaka toes, mi ni wako God
uko so close to me than a brother so
nitakuimbia kila kitu mi ninacho all
pesa zangu, mali yangu to my saxophone
Mwamba, grace yako ni sufficient
niki-mess, Father unakuwa so lenient
ni ka mtoi akiiba ashuke home
alafu mathe amshike amwambie that's wrong
talent ukanipa Father mimi nawaua
I can't disappoint you si unajua
OK, si unajua
Bantu, Salvage, Krystin Ndela man
tuko juu ya salvation na inabamba man
Chorus (Krystin Ndela)
bwana mi nakupa kile ninacho
kwani moyo wangu unalia bado
bwana mi nakupa kile ninacho
moyo wangu wote nautoa kwako
bwana mi nakupa kile ninacho
kwani moyo wangu unalia bado
bwana mi nakupa kile ninacho
moyo wangu wote nautoa kwako
Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47
Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33
Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35
Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
Kile Ninacho
Ghafla!Lyrics (Kenya)
